Lyrics
Malaika
Nakupenda malaika
Malaika
Nakupenda malaika

Ningekuoa mali we
Ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika

Pesa
Zasumbua roho yangu
Pesa
Zasumbua roho yangu

Nami nifanyeje
Kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika

Kidege
Hukuwaza kidege
Kidege
Hukuwaza kidege

Nami nifanyeje
Kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa malaika

Malaika
Nakupenda malaika
Malaika
Nakupenda malaika

Nami nifanyeje
Kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we sponki
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika

Copyright: Songtrust Ave
Writer(s): FADHILI WILLIAM




Videos
Close
Miriam Makeba- Malaika (Live Performance 1969)
Miriam Makeba - Malaika (Subtitled in Swahili and English)
Malaika Miriam Makeba
Malaika (Original single 1974)
Harry Belafonte, Miriam Makeba - My Angel (Malaika) (Official Audio)
Miriam Makeba - Malaika (Live at AVO Session (Basel) Switzerland - 2006)
MIRIAM MAKEBA Malaika Original 1974 single with Swahili and English Lyrics
Download SoundHound
The only App that can give you results through singing and humming search!
You can sing any song from this artist to help SoundHound users find it!